kwa mujibu wa shilika la afya duniani WHO wamesema mtu mmoja kaskazini mwa kongo anaaminika amefariki.kwa ugonjwa wa ebola
mtu huyo alionesha dalili zote za kuwa na virusi hivyo atari vilivyo pelekea kifo chake huku watu wengine tisa wakiaminika wameambukizwa ugonjwa huo
hivyo basi watu wa maeneo hayo wametakiwa kuwa waangarifu ili kupunguza kuenea kwa ugonjwa huo atari
Tags
Kimataifa