Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA mh saidi mwambungu afariki dunia reo saa nne asubui mjini dar es salaam
kwa mujibu wa mdogo wa marehem shahibu mwambungu amesema kaka yake alipatwa na mahuti baada ya hali yake kubadilika ghafla
mwambungu amefia muhimbili katika kitengo cha moyo cha jakaya kikwete ambapo amesema taratibu za mazishi zitatangazwa
Tags
Kitaifa