sababu zinazo pelekea betri ya simu kufa

kuna sababu nyingi zinazo pelekea betri ya simu yako kupoteza ubora au kuvimba miongoni mwa sababu hizo ni

kutumia simu huku unaichaji
hii ni sababu kubwa hupelekea betri kuvimba na kujikuta haiwezi tena kutunza chaji na kujikuta unaichaji kila muda

kutunia simu ikiwa haijajaa chaji
hili ni tatizo ambalo wanalo watu wengi katika utumiaji wa simu utakuta mtu ana weka simu chaji lakini huichomoa kabla haijajaa pale unaua betri lako

matumizi ya power bank
power bank husaidia lakini pia ubaribu betri lako maana utumiapo ni sawa na unatumia huku unachaji

Post a Comment

Previous Post Next Post