timu ya manchester ya uingereza yafanikiwa kuwa bingwa wa EUROPA league baada ya kuofunga ajax jumla ya magoli mawili kwa bila
magori ya manchester yamefungwa na paul pogba na gori la pili limefungwa na micktlyan
kutokana na ushindi huo manchester wanakuwa wamepata.nafasi ya kucheza UEFA kama mshindi wa EUROPA japo kuwa kwenye ligi ni ya sita
Tags
Michezo


