rais wa irani amefanikiwa kutetea kiti chake cha urais kwa kumshinda mpinzani wake kwa kura zaidi ya milion 4
rouhan ambae alikuwa raisi alimshinda mpinzani wake katika majimbo mengi.nchini humo na kuweza kurudi tena madarakani
ushindi huo umetangazwa na kituo cha habari cha serikali huku asilimia 74 ya wapiga kura wakishiliki kupiga kura kote nchini iran
ushindi huo umekuja huku mzozo kuhusu nyuklia ukiwa bado una tokota kutokana na irani kurutubisha nyuklia
Tags
Kimataifa