japan yaajiri asilimia 97 ya wahitimu

japani imekuwa nimiongoni mwa nchi zinazotoa.ajira nyingi kwa wahitimu wa chuo kikuu mara tu wanapo mariza masomo yao

japani huajiri zaidi ya asilimia 97 ya wahitimu wote bila kuangaria fani waliyo soma vyuoni kwa wakati husika

japani pia huajiri ata wageni pia ambao wamesoma nchini humo hasa walio somea sayansi katika vipengere tofauti tofauti

hatua ya japani kuajiri imetajwa kusaidia kukua kwa uchumi wa nchi ukizingatia uchumi wa japani ulikuwa umeshuka kwa kiasi fulani


Post a Comment

Previous Post Next Post