manchester wafuzu fainali EUROPA

katika.mechi iliyo malizika oldtraford manchester united yafuzu fainali ya ligi ya europa baada ya kutoa sare na.celtavigo ambapo mechi ya kwanza manchester walishinda gori moja ugenini hivyo kutimiza magori mawili kwa moja

fainali inatarajiwa kuchezwa sweedeni kati ya manchester united dhidi ya ajax ambapo mshindi wa mechi hiyo ataingia kucheza au atafuzu kucheza UEFA mwakani


Post a Comment

Previous Post Next Post