picha za treni za kale zaidi

katika sayansi na tekinilojia sayansi hupitia hatua nyingi mpaka kuja kureta mafanikio katika jamii ndivyo ilivyopita pia katika uundaji wa treni

hizi ni miongoni mwa picha za treni za zamani zaidi


hizi ni miongoni tuu lakini zipo nyingi na treni za zamani zilikuwa zinatoa moshi mwingi ndyo maana wakaita gari moshi


Post a Comment

Previous Post Next Post