baada ya timu ya new castle kuwa ni miongoni mwa timu zilizo rudi ligi kuu tim hiyo imekuja na mikakati kabambe ikiwemo kuchukua ubingwa msimu ujao kama ilivyo fanya resta city mwaka jana
new castle ipo.bado chini ya kocha walio shuka nae dalaja Rafael benitez imejinasibu.kuchukua ubingwa hasa kwa mashabiki ndyo wanaonesha matumain.makubwa na timu yao
Tags
Michezo