club ya italia inter milan inasemekana inataka kumchukua kocha wa chelsea antonio conteh baada ya kumtimua kocha ambae alihudumu inter milan kwa miezi sita pekee
antonio ambae yupo na chelsea kwa msimu wa kwanza alisha wai ifundisha timu hiyo tangu mwaka 2001 kabla ya kuwa kocha wa timu ya taifa ya italia kabla ya kuchukuliwa na chelsea
Tags
Michezo