watazamaji wengi na wapenzi.wa miereka hawaijui sura halisi ya mpiganaji rey mastereo kwa kuwa huvaa maski sasa.huyo pichani ndy jmaa mwenyewe akiwa nje ya ulingo
wengi husema mwonekano wake.na upiganaji wake haviendani huku wengine wakisema anasura ya kike
Tags
Entertaiment