mchezaji wa muda mrefu wa azam john boko inaonekana.hatian kubakia klabuni apo kutokana na dalili mbali mbali
mchezaji huyo ambae amecheza azam tangu ikianzishwa ametoa maneno ya mafumbo ambayo huenda azam wakawa wamemtema
boko ambae pia amecheza timu ya taifa kwa kipindi kilefu ameshindwa kuonesha makeke msimu huu huenda ameachwa
Tags
Michezo