mwanasheria mkongwe albert msando ameomba.msamaha baada ya video yake na gigy kuvuja mtandaoni
video hiyo ina mwonesha gigy akiwa na msando kwenye gari huku gigy akicheza mziki na msando akimpapasa mwilini mwanamke huyo
msando.kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba msamaha kwa walio kwazika na ambao hawakuvutiwa kabisa na video hiyo
Tags
Entertaiment