rais wa wa marekan bwana trump ataitembelea israel na kukutana viongozi mbali mbali wa israel na parestina
huu ni.mwendelezo wa ziara ya trump mashariki ya kati ambapo amesha tembelea saudi arabia trump anatarajiwa kufanya mkutano siku mbili nchini israel kujadiri.mzozo wa parestina na israel
trump amepata uungwaji mkono katika nchi za mashariki ya kati tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake obama
Tags
Kimataifa