maofisa wapolisi 4 nchini kenya washambuliwa na bomu

taarifa kutoka nchini kenya zinasema polisi wa nne wamefariki baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa aldhini

kwa mujibu wa shilika la msalaba mwekundu ni kwamba tukio hilo limetokea kaskazini mwa kenya katika mpaka na somaria

katika tukio hilo polisi wanne wamepoteza maisha na wengine wanne wamejeruhiwa vibaya hukwa gari walilo kuwa wakisafiria likiwa limeharibika kabisa

mpaka sasa hakuna kikundi chochote kilicho kubari kuhusika na tukio hilo ila wanamgambo wa alshabaabu wanazaniwa kuwa ndyo walio tekeleza tukio hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post