mchezaji wa simba afunga ndoa leo

mchezaji machachali wa timu ya simba ibrahim ajibu afunga ndoa reo na mpenzi wake wa muda mrefu

ajibu amesema wamesha chunguzana saana na wameona wanaweza kuishi pamoja leo wameamua kufunga ndoa ili wasiwe wanamchukiza mungu tena


Post a Comment

Previous Post Next Post