raisi amtaka muhongo ajiuzuru

raisi john pombe magufuri leo mapema amtaka pr muhongo ajiuzuru baada ya kushindwa kusimamia mchanga wenye madini

baada ya kupokea ripoti.ya kamati aliyo uteua kuchunguza suala hilo mh raisi amemtaka mh muhongo kujiuzuru haraka

raisi alisema muhongo anatakiwa kijitasimini haraka kwa  yaliyo tokea kwenye wizara yake na ajiuzuru

muhongo anatuhumiwa kwa kuto simamia suala la mchanga wenye madini ambao ulikuwa unachangia kupotea kwa mapato mengi ya selikali

katika ripoti iliyo wasilishwa inaonesha wamegundua madini mengine yenye samani ya zaidi ya bilion256 ambayo yalikuwa yanatoroshwa kwenda nje ya nchi

Post a Comment

Previous Post Next Post