wagunduzi wa mambo ya kale nchini.misri wamegundua kaburi la binti wa faraho ambalo lina miaka isiyo pungua 3700 nchini misri karibu na piramidi zingine katika eneo la kifalme la dahshur kusini mwa kairo
pia katika kaburi wamekuta masanduku ambayo ndani yake yana nguo za thamani zilizo kuwa zina tumiwa.na binti huyo wakati wa uhai wake
ambapo piramidi aliyo kutwa mwili huo ina urefu wa mita zaidi ya miatano ambapo wachunguzi hao wamegundua makaburi mengine pia katika eneo hilo
Tags
Kimataifa