mafuriko ya sababisha shule kufungwa zanzibar

kufuatia mvua nyingi zinazo nyesha visiwani zanzibar imepelekea shule zote.kufungwa mvua hizo zinazo nyesha kwa wiki ya tatu sasa imesababisha wanafunzi kushindwa kufika mashuleni hivyo basi waziri wa elimu kutangaza kuzifunga shule zote huku akisema wanafunzi.wa.kidato cha sita wanaendelea na mitihani yao kama kawaida

pia mvua hiyo imeharibu mpaka miundombinu kama barabara na baadhi ya sehemu umeme kupatikana kwa shida


Post a Comment

Previous Post Next Post