mbunge anyonyesha mtoto bungeni

Admin
By -
0

Mama huyo pichani ambae ni mbunge nchini australia bi Waters alimnyonyesha mwanae bungeni huku vikao vikiendelea. Mbunge huyo wa mrengo wa kushoto aliandika katika mtandao wake wa facebook kuwa "tunaitaji wabunge wamama wengi zaidi ndani ya bunge"

mtoto wake alikikuwa ni mdogo wa miezi miwili tuu hakumwacha nyumbani akaamua kuwa nae karibu muda wote

nchini humo bunge limeluhusu wabunge kunyonyesha ambapo waliluhusiwa tangu mwaka 2003


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)