mwindaji mmoja nchini zimbabwe amefariki baada ya kulaliwa na tembo ambae alikuwa amepigwa lisasi
mwindaji huyo kutoka limpopo.afrika kusini alikuwa akijaribu kumuinua mnyama huyo ghafla akazidiwa uzito akawa amekandamizwa mpaka kufa
kwa mujibu wa taarifa mwindaji huyo alikuwa na uzoefu wa kuwinda simba na chui hakuwai kuwinda tembo au ndovu kabla
marehem kaacha mke na watoto watano ambao alikuwa anaishi nao limpopo
Tags
Kimataifa