Juventus imefikia makubariano ya kumsajili.cuadrado baada ya kuwa nae kwa mkopo
mchezaji huyo alikuwa hapo kwa mkopo akitokea chelsea aliisaidia juve kutwaa ubingwa italia na kuingia fainal ya UEFA
juventus imempa mkataba wa miaka mitatu na wamemnunua kwa paun milion 17 kutoka katika club ya chelsea
akiongea na waandishi wa habari cuadrado amesema amefurai.kupewa mkataba na juventus kwakuwa wameonesha kuvutiwa na yeye anashukuru na ata pambana kadri ya uwezo wake alisema
Tags
Michezo