WACHAPWA VIBOKO 83 KILA MMOJA BAADA YA KUFUMWA WAKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Wanaume wawili nchini indonesia wachapwa viboko 83 kila mmoja baada ya kunaswa wakijamiiana

wanaume hao walikutwa na.kundi la sungusungu wanao fanya doria kila siku katika maeneo hayo kila siku

wanaume hao.mmoja ni mwanafunzi wa udakitari inaaminika ni wapenzi wa muda mrefu ndyo maisha yao ya kila siku

uongozi wa chuo ambako anasoma mmoja wapo umeamua kumfukuza chuo.mwanafunzi huyo kwa kutia haibu chuo hicho

hatua hii imekuja baada ya hivi juzi polisi kuwakamata wanaume ambao walikuwa wameuzuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja

nchini indonesia mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria mtuhumiwa hukabiliwa na hukumu kali


Post a Comment

Previous Post Next Post