ashinda mbio km50 akiwa amevaa ndala

mwanamke.mmoja nchini mexico amwaacha watu midomo wazi baada ya kushinda mbio akiwa amevaa ndara tuu

mwanamke huyo alishinda mbio hizo huku akiwa amevaa ndara ambazo zimetengenezwa kwa magurudumu ya gari yaliyo isha

mwanamke huyo aliwashinda wenzake zaidi ya hamsini na yeye kuwa bingwa pia mwanamke huyo hakuwa na nguo za mashindano hivyo basi.yeye alivaa kawida


Post a Comment

Previous Post Next Post