Polisi nchini venezuela imesibitisha kuwa mtu mmoja amechomwa moto na waandamanaji
kwa mujibu wa mashuhuda wamesema mtu huyo inaaminika kuwa ni mfuasi wa serikali.alichomwa moto asilimia 80 ya mwili wake
mtu huyo ambae ilisemekana ni mwizi watu walimzingira wakamchoma kisu atimae wakamchoma moto kabla ya polisi kumwokoa
tangu maandamano yaanze.watu zaidi ya 58 wame ripotiwa kuuawa huku wengi wao wakiwa ni waandamanaji wanao ipinga serikali
pia raisi amesema waandamanaji wanaendesha uporaji na wizi wa mari za.watu hasa maeneo ya mijini
Tags
Kimataifa