AZAM WAMALIZANA NA IBENGE MSIMU UJAO WAMOTO


 Azam FC imemtambulisha rasmi kocha wa zamani wa 🇨🇩AS Vita na 🇰🇼Al Hilal Omdurman ya Sudan Florent Ibenge kuwa kocha wao mpya kuelekea msimu ujao wa mashindano.

Ibenge ataiongoza Azam kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, mashindano ambayo anayajua vyema kutokana na kutwaa Taji hilo akiwa na 🇲🇦RS Berkane.

Post a Comment

0 Comments