Jinsi mtu anavyoweza kusoma message zako za WhatsApp bila ku hack

Admin
By -
0
Leo nimekuja na njia ambayo itamuwezesha mtu kusoma message zako unazochat na watu wako kadhaa kwa njia rahisi kabisa .

TWENZETU!!!


Baada ya kuchukua simu yako ataingia kwenye chat ya mtu anayetamani kujua huwa unazungumza nae nini na atafata njia ifuatayo..


Atabonyeza alama iliyoko upande wa kulia kwa juu inayoashiria MENU



Atabonyeza chaguo la MORE kisha baada ya hapo atachagua EMAIL CHAT



Atachagua atume kwa kutumia email ya nani lakini kwa kuwa kwenye simu zetu za android nyingi tunakua tumejisajili kwa email zetu basi itamuwia rahisi sana ataituma tu chat hiyo kwenye email yake na baada ya hapo atapokea messages zote ulizowahi kuchat na huyo mtu mpaka wakati ule alipojitumia chat kwenye email yake.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)