Mtunzi:Steve christian
"Sitakusahau Angel"
+255713861567
Steve ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Ruvuma nchini Tanzania ambae ni Mtoto wa pili kati ya watoto watatu kwenye familia yako
Kijana Steven alikuwa na ndoto ya muda mrefu Siku moja afanikiwe au na yeye aweze kuishi nchini za ulaya maana ndiyo nlikuwa ndogo take kubwa ambayo alitamani Siku moja aweze kuitimiza
Akiwa shule ya msingi alikuwa na rafiki take aitwaye john ambae walikuwa na mipango ifananayo ya kwenda kuishi na kufanyajazi nchini za ulaya wakiamini ndiko kwenye maisha mazuli na yenye furaha
Baada ya kuhitimu kidato cha nne matokeo hayakuwa mazuri saana kwa upande wa Steven maana hakufanikiwa kujiunga na kidato cha tano kutokana na kupata ufauru wa kiwango cha chini
Baada ya kushindwa kujiunga na kidato cha tano kijana Steve aliamua kujifunza ufundi wa magari kwenye garage ya mjomba wake ambaye ilikuwa ikipatikana mjini songea ambapo alijifunza hapo kuanzia mwaka 2013 mpaka mwaka 2015 ambapo alihitimu na kuwa fundi ambae anaweza kufungua hata garage yake binafsi lakini muda huo wote akiwa bado na ndoto ya kufika barani ulaya.....
"INAENDELEA....
Post a Comment
0Comments