mbunge wa Arumeru Joshua nasssari na mwenzake wa Arusha mjini Godbless lema wame weka wazi ushahidi wao kuhusu kuwatuhumu ccm kuwanunua madiwani wa chadema
wabunge hao wame wasilisha ushahidi wao ambao unaonesha kuwa madiwani wa chadema walio hama wali shawishiwa kuwa watapewa pesa za posho za udiwani za hadi 2020
pia miongoni mwa ahadi wamliambiwa kuwa wata patiwa ajira na kukamilishiwa miladi yao ya maendeleo waliyo haidi kwa wananchi
hatua hii imekuja baada ya madiwani zaidi ya kumi kutangaza kujiunga na ccm baada ya kufuraishwa na utendaji kazi wa raisi magufuri
kwa upande mwingine madiwani wanao tuhumiwa kuchukua rushwa wamepinga na kusema wao wana muunga mkono raisi kwa mapenzi yao
Nassari na Godbless lema waweka wazi ushahidi kuwa ccm inanunua madiwani chadema
By -
October 01, 20171 minute read
0
Tags: