DIAMOND ATOLEA MAELEZO WIMBO WAKE

Admin
By -
1 minute read
0
Baada ya diamond kuachia video yake mpya na kuvunja rekodi ya kutazamwa mala milioni moja ndani ya masaa 15 maneno mengi yakatokea

miongoni mwa maneno ni tuhuma kuwa diamond ananunua views na mdiyo maana kapata watembeleaji wengi wa ujanja ujanja

baada ya tuhuma hizo.diamond.kasema hanunui views na haja jiunga na VEVO kwa sababu za kimaslay

alisema VEVO hawalipi vizuri kama youtube ndiyo maana kaamua kubaki na youtube

pia kuhusu jina la video yake amesema.jina hilo lina maana ya kutukuza uumbaji wa mungu na siyo kama watu wasemavyo

meneja wake amesema watu wengi wanasema tu ili waonekane wakisema lakini hawaelewi na wao hawa fanyi ujanja ujanja kama wanavyo tuhumu watu.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)