DOKTA AMCHOMA SINDANO YA USINGIZI BINTI KISHA KUMBAKA



Muuguzi katika kituo cha afya cha kata ya igurubi wilayani Igunga amchoma sindano ya usingizi binti kisha kumbaka

muuguzi huyo Damian mgaya miaka 26 alimbaka binti wa miaka kumi na nane mkazi wa kitongoji cha mwagala B

binti huyo alikuwa akimuuguza mama yake ambae alikuwa akiugulia maumivu baada ya kupigwa na mume wake

baada ya kufika kituoni hapo muuguzi huyo aliwapokea akawapa kitanda baada ya muda alimwita huyo binti chumba kinginea aje achukuwe dawa lalini hakumpatia matokeo yake akamwambia kuwa mazingila hayapo sawa itabidi alale ndipo akamchoma sindano ya usingizi na hatimae akambaka kuanza saa nane mpaka alfajili

baada ya muda mrefu mama akaamua kumfuata mwanae ndipo akamkuta akiwa hajielewi huku akiwa amesha bakwa

mganga mkuu wa hospitali amesibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo limefanywa na muuguzi wa hospitali yake ambae ni Damian mgaya

mkuu wawilaya aliipata taatifa hiyo na ameagiza kukamatwa kwa muuguzi huyo ili taratibu za kisheria zifuate


Post a Comment

Previous Post Next Post