
Watu wawili wafatiki wakati wakibatizwa mtoni
watu wawili wafariki wakati wakibatizwa katika mto Ungwasi wilayani rombo mkoani kilimanjaro
watu hao waumini wa kanisa la siloam walienda mtoni kubatizwa wakati wakibatizwa ghafla mmoja wao akapandisha mapepo ambo aliwakandamiza waliokuwa wakibatizwa mtoni kwenye maji hali iliyopelekea wapoteze maisha
mkuu wa wilaya ya rombo amesibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo lilitokea wakati huduma ya ubatizaji ikiendelea katika mto huo ambao una kina kimefu
mpaka sasa mchungaji wa kanisa hilo anashikiliwa na polisi huku uchunguzi ukiendelea
Tags
Kitaifa