MAPACHA WALIO UNGANA WAFAURU MTIHANI KIDATO CHA SITA WAPATA DIVISION TWO KILA MMOJA



Kama ulishawai kusikia kuhusu taarifa yamabinti wawili walio ungana hatimae mabinti hao wamemaliza kidato cha sita

mabinti hao Consolata na maria ambao ni watoto yatima walifanya mtihani wa kidato cha sita na matokeo yao yamekuwa mazuri wamefauru na kupata dalaja la pili

watu wengi hawa kuwafikilia kama watafanya vizuri katika mtihani wao wa mwisho lakini mungu kawajaria wamepata matokeo mazuri na wanakaribia kutimiza ndoto zao kimaisha


Post a Comment

Previous Post Next Post