Baada ya msanii kutoka WCB harmonize kumweka wazi mpenzi wake wabongo washaanza kuponda
harmonize alionesha picha ya X-RAY ikionesha kuwa mpenzi wake ni mjamzito watu wakaanza kulusha majungu na kumchambua huku wakioneshwa kuto vutiwa
wengine walidiliki kusema mzungu mwenyewe mbaya pia ana mdomo mkubwa huku wengine wakisema amenyata na havutii
harmonize amweka wazi mpenzi wake punde tuu baada ukisikika kuwa ameachana na aliyekuwa mpenzi wake Jacklin wolper
WABONGO WAANZA KUMCHAMBUA MZUNGU WA HARMONIZE
By -
June 05, 2017
0
Tags: