Mbunge wa kibamba kwa tiketi ya chadema john mnyika ahaidi kumshtaki askari aliye msukuma
mnyika alitolewa nje kwa amri ya spika wa bunge baada ya kupishana kauli na spika ndipo askari wa bunge wakaja kumsukuma kumtoa nje ya bunge
akiongea kutoka kilimanjaro mnyika kasema akirudi anaenda kumfungulia kesi askari aliye msukuma na kumvunjia heshima mbele ya watanzania
mnyika kasema hatofumbia macho jambo hilo na ataakikisha linafikia sehemu linapotakiwa ili iwe fundisho kwa askari wengine kufuata wajibu wao wanapo fanya kazi zao
MNYIKA:NTAMSHITAKI ASKARI ALIYE NISUKUMA
By -
June 05, 2017
0
Tags: