Kufuatia kile kilichoitwa utovu wa nidham kamati ya maadiri ya bunge yawapiga stop bulaya na mdee kuhudhulia bungeni
maamuzi hayo yamepitishwa leo na kuungwa mkono na wabunge wengi wa chama tawala bungeni mjini dodoma
katika shelia kuna kifungu cha sheria kinaipa uwezo wa kumsimamisha mbunge mpaka vikao kumi(10) kwa kufanya kosa bungeni na ikiwezekana hata vikao 20 kwa mbunge
BULAYA NA MDEE WAPIGWA STOP KUHUDHULIA VIKAO VYA BUNGE
By -
June 05, 2017
0
Tags: