Klabu ya simba yasibitisha kumwacha mchezaji hamad juma kutokana na utovu wa nidhamu
uonhmgozi wa simba ambao ulimsajili amad juma kutoka coastal union umesema mchezaji huyo amekuwa hana nidham ivyo basi wameamua kumuacha
pia wamesema kuna wakati walilazimika kudanganya kuwa alianguka chooni lakini hapana waliamua tuu kuficha haikuwa hivyo
simba wamesema mchezaji huyo yupo hulu na atakae muitaji waongee wenyewe Hatua hiyo imekuja mwaka mmoja tuu baada ya mchezaji huyo kujiunga na simba akitokea coastal union ya tanga
SIMBA YA MWACHA MCHEZAJI HUYU
By -
June 03, 2017
0
Tags: