Mwili wa mzee maige ambae alichora nembo ya taifa kusafirishwa leo kuelekea misungwi kwa mazishi
mzee huyo ambae alifia hospital ya taifa muhimbili utasafilishwa kuelekea kwao misungwi mwanza baada ya ndugu zake kupatikana
mzee huyo aliibuliwa na ITV akiwa yupo hoi kwa kuugua huku akiishi maisha ya taabu kwakukosa msaada hasa kwa serikali na badae kufia muhimbili
MWILI WA ALIYE CHORA NEMBO YA TAIFA KUSAFILISHWA LEO
By -
June 03, 2017
0
Tags: