MZEE WA KANISA APIGWA RISASI MPAKA KUFA

Admin
By -
0

Mzee wa kanisa la KKKT ushilika wa segerea aliye julikana kwa jina la samson zamy auawa kwa kupigwa risasi

kwa mujibu wa taarifa mzee huyo ambae ni mfanya biashara na mmiliki wa kampuni ya CEL SOLUTION alipigwa risasi nje ya ofisi zake maeneo ya kinondoni

mzee huyo wakati akishuka kutoka kwenye gari lake akitokea bank ghafla wakaja watu wawili wakiwa na bunduki wakampiga risasi mguuni na kumtaka atoe pesa alipo chelewa wakampiga na mgongoni kisha kuchukua pesa na kutokomea kusiko julikana

kwa mujibu wa mlinzi aliyekuwepo maeneo hayo alisema walikuwa majambazi wawili wakiwa na pikipiki na bunduki huku akisema jambazi mmoja anamfaham kwa sura


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)