Polisi mkoani singida imemkamata muimbaji wa nyimbo za injili Rose muhando kwa kosa la utapeli
mkuu wa polisi mkoani humo amesibitisha kuwa ilimkamata muimbaji huyo kufuatia kesi iiyo funguliwa na kanisa la AICT
polisi inasema muimbaji huyo alitumiwa pesa na kanisa hilo novemba 3 mwaka jana shilingi 800000 kwaajili ya kuja kwenye uzinduzi wa kwaya lakini msanii huyo hakufika
msanii huyo aliojiwa na polisi na kukili kupokea pesa hizo na hakufanikiwa kuja kwakuwa alikuwa na mgonjwa hivyo alishindwa kufika pia alihahidi kuziludisha pesa hizo
ROSE MUHANDO AKAMATWA NA POLISI SINGIDA
By -
June 06, 2017
0
Tags: