baada ya bunge kuwasimamisha wabunge wawili.Halima mdee na Ester bulaya bunge limeamua kuwalipa nusu mshahara
kufuatia kusimamishwa kwao wabunge hao wawili watalipwa nusu mshahara pamoja na posho kwa muda wa miezi kumi
uongozi wa bunge umesema hadhabu hiyo ni sahihi kwao kwakuwa walionesha utovu wa nidhamu
Bulaya alikutikana na hatia ya kuzarau kiti cha bunge ambapo alisimama na kuongea bila ruhusa huku akikaidi amri ya spika
Mdee nae alikumbwa na hatia ya kuzarau na kupinga maamuzi ya spika kwa kumvuta shati askari ambae alikuwa akimtoa nje mbunge wa kibamba John mnyika
MDEE NA BULAYA KULIPWA NUSU MSHAHARA
By -
June 06, 2017
0
Tags: