ASKARI MGAMBO AUAWA KIBITI

Admin
By -
0

Polisi kibiti yasibitisha kutokea kwa mauaji ya askari mgambo

kwa mujibu wa taarifa mtu mmoja ambae ni askari mgambo aliye fahamika kwa jina la frank mwarabu mkazi wa kitongoji cha kazamoyo ameuawa kwa kupigwa na risasi

kwa mujibu wa majirani ilikuwa majira ya saa 9:00 usiku walikuja watu na siraha na kumuuliza mke wa marehemu kuhusu frank lakini mke alishindwa kutoa taarifa watu hao wakaamua kumtafuta na wakamkuta uvunguni mwa kitanda ndipo wakamshambulia mpaka kufa

kwa mujibu wa dokta marehemu alikuwa namajeraha matatu maeneo ya kichwani na ubavuni huku taarifa zikisema watu hao hawaja chukua kitu chochote


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)