Kabla kulikuwa na taaria ya kukutwa watu watatu wakiwa wamepigwa risasi
kamanda wa polisi amesema watu wawili wameuawa kibiti kwa kupigwa risasi na watu wasio fahamika
polisi imesema mpaka sasa wana taarifa ya wa wili ndyo wameuawa kwa kipigwa risasi usiku wa kuamkia leo
polisi imesema inaendelea na uchunguzi zaidi kubaini walio fanya mauaji pia hakuna taarifa ya kuchukuliwa kitu chochote wauaji wameua tu na kutoweka kusiko julikana
POLISI YASEMA WAWILI WAFARIKI KIBITI
By -
June 09, 2017
0
Tags: