Waziri mwigulu nchemba akijibu swali bungeni kuhusu kukatazwa kwa mahafari ya wanafunzi wa upinzani vyuoni
waziri alisema wanafunzi wa upinzani huwa hawafuati taratibu za kufanya mahafari yao huwa wanafanya kiholela ndyo maana huzuiliwa
pia kuhusu wanafunzi wa ccm nchemba amesema hawa hufuata taratibu zooote za ufanyaji mahafari yao ndyo maana uruhusiwa kufanya
Nchemba amesema wakitaka kufanya hawazuiliwi kikubwa wafuate utaratibu wa ufanyaji wa mahafari hayo hawata zuiliwa kma ilivyo kwa wenzao wa ccm
hivi karibini kumeshuhudiwa kuzuiliwa kwa baadhi ya mahafari ya wanachuo hususani wa chadema mavyuoni huku kukiwa na sababu mbalimbali
NCHEMBA:ATOA SABABU ZA KUZUIA MAHAFARI YA WANAFUNZI WA UPINZANI VYUONI
By -
June 09, 20170 minute read
0
Tags: