Tangu apatwe na jaraha mshambuliaji waanchester united ibrahimovic huenda akaachwa na timu hiyo
mpaka sasa akuna mazungumzo yoyote kuhusu mkataba mpya tangu mchezaji huyo aumie na kuwa nje
man united wamekuwa kimya kipindi kirefu na hawajaonesha kuitaji kumwongezea mkataba ambapo kuna muda kulitokea mvutano kuhusu mshahara ambapo uongozi wa man united ulitaka kumpunguzia mshahara kipindi akiwa nje ya uwanja
mchezaji huyo amesha ifungia timu hiyo magori zaidi ya 28 tangu akljiunge na klabu hiyo ya mjini manchester
MAN UNITED KUMTEMA IBRA
By -
June 09, 2017
0
Tags: