Uchunguzi ulio fanywa nchini uingereza umebaini kuwa TV ni hatari kwa afya ya mtoto
madaktari na wanasayansi nchini uingereza wamebaini kuwa watoto ambao wana tv zao vyumbani mwao wapo katika hatari ya kupata uzito ulio pitiliza kutokana na utazamaji wa tv
wanasayansi walifanya utafiti kwa watoto zaidi ya 12000 nchini uingereza na kubaini kuwa walipata uzito mkubwa baada ya kuangaria TV kwa muda mrefu
pis kuna madhara mengine mengi kama kuharibu macho kwakuwa mwanga wa TV huwa ni mkali sana inapelekea kuharibu macho ya mtoto ata mtu mzima
hivyo basi wameshauri kama tuna wapenda watoto wetu tusijaribu kuwawekea.TV mavyumbani mwao kwa kuwa wataangaria kwa muda mlefu na kujikuta wakipata matatizo kama haya
TV NI HATARI KWA AFYA YA MTOTO
By -
June 02, 2017
0
Tags: