Kufuatia kufanyika uteuzi wa mama ana mgimwa kuwa mkuu wa mkoa kilimanjaro zitto kabwe akosa majibu
zito amesema mpaka sasa hajui awajibu nini wanahabari kwakuwa hata mama anna mwenyewe hayupo tanzania anamsubili kwanza arudi alafu watatoa taarifa
zitto alisema ata yeye alishtushwa na uteuzi kma mtanzania ila hana cha kusema anamsubili muhusika arudi wataongea vizuri
kufuatia uteuzi huo watu wengi walishangaa kwakuwa mkuu wa mkoa mara zote huwa mwana.ccm na uhuzuria vikao vya ccm huku mama ana akiwa mwenyekiti wa ACT wazarendo jambo lililo acha minong'ono mingi sana
ZITTO KABWE ABAKI NJIA PANDA
By -
June 05, 2017
0
Tags: