Kanisa moja nchini ghaba limefanya misa maalumu kwaajili ya kuipongeza timu ya chelsea baada ya kuwa mabingwa
katika misa hiyo waumini walivaria jezi za timu ya chelsea na kulishana keki kwaajili ya kufuraia ushindi wa ubingwa wa chelsea
katika kanisa hilo walijenga na jukwaa maalumu lenye mfano wa kiwanja cha mpira cha chelsea pamoja na keki pia
mchungaji wa kanisa alisema lazma wafanye ibada kumshukuru mungu baada ya chelsea kuwa ma bingwa wa ligi kuu ya uingereza
KANISA NCHINI GHANA LAIFANYIA MISA TIMU YA CHELSEA
By -
June 05, 2017
0
Tags: