WASHUKIWA WA MAUAJI LONDON NI HAWA

Admin
By -
0

Polisi imetoa picha ya watu wawili walio fanya shambulio la visu juzi mjini london

watuhumiwa hao wawili wenye asili ya tunisia waliua watu zaidi ya ishilini kwa kuwashambulia kwa visu huku wakiwajerui wengine wengi juzi usiku

watuhiwa hao mmoja mwenye asili ya moroko ambae ana uraia wa uingereza anainika kuwa na mahusiano na kikundi cha ugaidi cha IS pia baada ya tukio hilo IS pia wamekili kuhusika na shambulio hilo

plosi bado wapo kwenye uchunguzi ili kubain kama walio fanya shambulio ni wanamafungamano na IS au watu wengine wamefanya hivyo


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)