mwamume mmoja nchini marekani amewauwa wenzake wawili baada ya kutaka kumtetea mwanamke muislam
mtu huyo alikuwa ametoa maneno ya ubaguzi kwa mwanamke ndani ya treni ndipo wanaume hao wakajaribu kumtetea ghafla alachomoa kisu na kuwadunga
baada ya trump kuwa rais matukio ya ubaguzi dhidi ya waislam nchini marekani yameongezeka kwa kasi
wadadisi wamesema mambo hayo yametokana na kauli mbovu za kibaguzi za trump ambae wazi kabisa alionesha kuwachukia waislam
Post a Comment
0Comments
3/related/default